Exodus 34:29

Mngʼao Wa Uso Wa Mose

29 aMose alipoteremka kutoka Mlima Sinai akiwa na vile vibao viwili vya Ushuhuda mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa ukingʼaa, kwa sababu alikuwa amezungumza na Bwana.
Copyright information for SwhNEN